
Hapi: Wananchi hawaiamini CCM kwa mavazi, nyimbo bali inavyoshughulikia kero zao
Iringa. Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi wa Chama cha Mapinduzi, Ali Hapi amesema kuwa imani ya wananchi kwa CCM, haitokani na mavazi wala nyimbo, bali wanavyoshughulikia kero za wananchi. Kutokana na hilo, amewakumbusha viongozi wa chama hicho na jumuiya zake kushughulikia kero wa wananchi, badala ya kuwa sababu ya kuwakandamiza na kuanzisha migogoro. Hapi…