
DKT KIKWETE- MIMI MWANACCM NATAMANI RAIS SAMIA AENDELEE BAADA YA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025
Na Mwamvua Mwinyi, Chalinze Aprili 11, 2025 Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, anatamani kuona Rais Samia Suluhu Hassan akiendelea kuliongoza Taifa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, huku akisisitiza uchaguzi uwe wa amani na salama. Aidha amemkabidhi Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2025,…