
Kesi inayowakabili watumishi 16 wa jiji la Dar yaiva
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuwa taarifa na nyaraka muhimu zilizowasilishwa Mahakama Kuu, kuhusiana na kesi ya matumizi mabaya ya madaraka inayowakabili watumishi 16 wa Jiji hilo, zimeshasajiliwa. Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashitaka 142 yakiwamo ya kuongoza genge la uhalifu, matumizi mabaya ya madaraka na…