
SHULE YA SEKONDARI MISUFINI GOMA KUANZA KUPOKEA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO 2025.
Na Ashrack Miraji MichuziTV Zaidi ya shilingi milioni 389 kutumika kujenga Mabweni mawaili (KE&ME), vyumba vinne vya madarasa na matundu ya vyoo kumi na nne (14) katika Shule ya Sekondari Misufini Goma iliyopo Kata ya Ndungu Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro, ikiwa ni maandalizi ya kuanza kupokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa mwaka 2025…