
Mgunda aanza kuhesabu, Simba ikibakisha nne
KAIMU kocha mkuu wa Simba, Juma Mgunda amepata ushindi wake wa kwanza na mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wake wa pili wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Mgunda alianza kwa sare ya mabao 2-2 akiwa Ruangwa mkoani Lindi mbele ya Namungo katika mchezo wake…