
Mhadhiri UDSM achaguliwa kuwania ubunge EALA
Dodoma. Kamati ya wabunge wa CCM imemchagua Gladnes Salema kukiwakisha chama hicho katika uchaguzi wa mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) utakaofanyika Septemba 5, 2024 bungeni. Dk Gladnes, mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) amewashinda wapinzani wake wawili ambao ni Lucia Pande na Queenelizabeth Makune. Uchaguzi huo uliofanyika leo Jumatatu Septemba…