
Majitaka yageuzwa fursa kutengeneza mbolea, gesi
Unguja. Miaka michache iliyopita, Wazanzibari walikumbwa na maradhi ya mlipuko kama kipindupindu kutokana na mazingira kutokuwa safi. Mwaka 2016 watu 45 walipoteza maisha na 3,000 waliugua kisiwani humo. Hata hivyo, tangu kipindi hicho hakujawahi kushuhudiwa kasi ya ugonjwa huo baada chanjo iliyotolewa na Wizara ya Afya, ikiwa ni msaada kutoka mradi wa Shirika la Umoja…