
Serikali yakiri uwepo wa malalamiko ya rushwa kwenye mabaraza ya ardhi
Dodoma. Serikali ya Tanzania imekiri kutambua uwepo malalamiko ya rushwa kwenye mabaraza ya ardhi na kuwa imekuwa inachukua hatua kila inapobainika kuna uamuzi umefanyika kwa ushawishi wa rushwa. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameyasema hayo leo Ijumaa Mei 3, 2024 wakati wa kujibu swali la nyongeza la Mbunge wa Rorya…