
Rais Samia ataka utafiti kutatua changamoto za usalama
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kukiwezesha Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) kuhakikisha kinakuwa kituo bora cha tafiti zitakazotatua changamoto za kiusalama duniani. Ametoa ahadi hiyo akieleza Afrika na dunia kwa ujumla inakabiliwa na changamoto nyingi za kiusalama na tafiti ndizo zitakazokuwa jawabu. Kauli ya Rais Samia imetolewa katika kipindi…