
TRA NA MAMLAKA ZA MAPATO EAC ZASAKA SULUHU ZA PAMOJA KUONDOA VIKWAZO VYA BIASHARA
Na Mwandishi wetu, Michuzi Tv MAMLAKA za Mapato za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimekutana jijini Dar es Salaam kujadili namna ya kuboresha mifumo ya kodi ili kuchochea ukuaji wa biashara ndani ya Jumuiya hiyo. Akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa mia moja wa Kamati ya Kiufundi ya Mamlaka hizo leo Septemba…