
Fadlu ashtukia jambo, ajipanga kivingine
KOCHA wa Simba, Fadlu Davids, ameshtuka kutokana na ugumu aliokumbana nao katika mechi za ugenini hasa kwenye viwanja vigumu na kisha kupanga mikakati mipya ya kuhakikisha wanafanya mambo makubwa kuwapa burudani mashabiki na wapenzi wa timu hiyo sambamba na timu kushinda kiulaini. Simba juzi ililazimika kusubiri dakika za majeruhi kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi…