
Serikali yawezesha upasuaji watu 10, wengine 621 wafanyiwa vipimo
Mbeya. Kambi ya madaktari bingwa wa upasuaji katika Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya imefanikiwa kufanya upasuaji wa mgongo kwa watu 10 kati 602 waliofika kliniki kufanyiwa uchunguzi wa awali. Idadi hiyo ilihusisha makundi mbalimbali ya wananachi waliohudhuria kliniki kufanyiwa uchunguzi ambapo baadhi yao walibainika chanzo cha matatizo ya mgongo ni saratani, ajali, udhoofu wa…