Fawe Tanzania yawanoa walimu tarajali Butimba usawa wa kijinsia
Na Mwandishi Wetu, Mwanza ILI kuhakikisha usawa wa kijinsia unazingatiwa kwa wanafunzi wa kike na kiume kuanzia elimu ya msingi mpaka chuo, Shirika la Wanawake Waelimishaji Afrika (Fawe) tawi la Tanzania limewajengea uwezo walimu tarajali katika mbinu za ufundishaji na ujifunzaji zinazozingatia usawa wa kijinsia. Mafunzo hayo ya siku tatu yamefunguliwa leo Juni 25, 2024…