Yanga yashusha jezi mpya kuwakimbia ‘wafyatuaji’

Yanga imesema imeshusha mzigo wa jezi mpya awamu ya pili zitakazokuwa na mabadiliko ili kuwakimbia wahujumu wa mapato wanaofyatua jezi feki. Akizungumzia hilo, Meneja wa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema mwekezaji wa biashara ya jezi za klabu baada ya kumalizika kwa jezi za kwanza ameshtukia uwepo wa uzi feki mwingi sokoni. Kamwe amesema baada…

Read More

Equity Group yapongezwa kwa kuwaleta pamoja wawekezaji

Dar es Salaam, 19 Mei 2025 – Equity Group, chini ya Mpango wa Afrika wa Urejeshaji na Uhimilivu (ARRP), inaongoza msafara wa kimataifa wa biashara na uwekezaji katika Afrika Mashariki, ukiaanzia nchini Tanzania (Dar es Salaam na Zanzibar) na kuendelea Uganda (Kampala). Msafara huu unalenga kuangazia fursa za kiuchumi na kukuza ushirikiano wa kikanda.  …

Read More

Mufti Zubeir: Mwezi haujaandama, Waislam kuanza kufunga Jumapili

Tanga. Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir ametangaza kutoonekana kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, nchini na nchi jirani hivyo waumini wa dini ya Kiislam wataanza rasmi kufunga Machi 2,2025. Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kuandama kwa mwezi Mtukufu wa Ramadhani leo Ijumaa Februari 28,2025 mkoani Tanga, Mufti Zubeir amesema, “kamati ya mwezi imefuatilia maeneo…

Read More

KITUO CHA AFYA ENGARENAIBOR KIMEANZA KUTOA HUDUMA YA UPASUAJI

NAIBU Waziri wa Madini,Dkt Steven Kiruswa amewataka viongozi wa milla maarufu kwa jina la Laigwanani na viongozi wa serikali na Chama Cha Mapinduzi{CCM} ngazi ya Kitongoji,Kijiji na Kata kuwahimiza akina mama wajawazito wa jamii ya kifugaji ya kimasai kuhakikisha wanakwenda kujifungua katika vituo vya afya na sio nyumbani ili kuepusha vifo vilisivyo vya lazima. Dkt…

Read More

MADEREVA 800 WAPATIWA MAFUNZO KUELEKEA MSIMU WA UTALIII

Na. Mwandishi wetu Jeshi la Polisi. KATIKA kuhakikisha msimu wa Utalii (high season) unaoanza hivi karibuni unakuwa katika hali ya amani, Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani Mkoa wa Arusha limewakutanisha zaidi ya madereva 800 wanaobeba watalii kwa ajili ya kuwapatia mafunzo maalumu ya kuwajengea uwezo pindi wanapotoa huduma hiyo ya usafiri. Akifungua mafunzo…

Read More

Simba yapasua mtu 11-0, Mnunka arejea na mbili

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL), Simba Queens leo jioni wameichakaza Mlandizi Queens kwa mabao 11-0 kwenye Uwanja wa KMC Complex jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo, Jentrix Shikangwa alifunga mabao manne, Asha Djafar alitupia hat-trick, Aisha Mnunka aliweka kambani mawili wakati Precious Christopher na Ruth Ingosi kila moja alifunga mara moja….

Read More