
Fatma Rembo achangia simu janja kwaajili ya urahisishaji wa usajili wa wanachama wapya wa Ccm Iringa
Mjumbe wa kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Jumuiya ya Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Tanzania (UWT) kutoka mkoa wa Iringa, Mhandisi Fatma Rembo ametoa simu janja (Smartphone) 5 na Kishikwambi (Tablet) 1 ili kusaidia zoezi la usajili wa wanachama wapya katika Chama na Jumuiya mkoani Iringa. Fatma Rembo amekabidhi simu hizo May 02,…