Mstaafu anapokopa matanga na kulipa matanga

Mkopo wa miaka minne aliojibamiza nao Mstaafu mwenyewe kwa kuendekeza shida na tabu zake nyingi miaka miwili iliyopita, mwezi uliopita ulifika nusu na hii benki ya dotcom anayopitishia pensheni yake njiwa haraka haraka imemtumia ujumbe kwamba ‘itamsaidia.’ Akitaka kuongezwa mkopo afike ofisini kwao wampigie hesabu apate mwingine bila haja ya kukupua! Mstaafu ameishia kutabasamu kwa…

Read More

Bayer Leverkusen imeichapa Roma 2-0 – DW – 03.05.2024

Mabao katika kila nusu ya kipindi cha kwanza cha mnyukano huo kutoka kwa Florian Wirtz na Robert Andrich yaliwahakikishia vijana wa Xabi Alonso ushindi katika mji mkuu wa Italia na kuwapa mabingwa hao wa ligi ya Ujerumani, Bundesliga nafasi kubwa ya kutinga fainali huko Dublin baadaye mwezi huu. Leverkusen itakutana na Atalanta au Marseille huko…

Read More

Fahamu madhara ya kunywa pombe bila kula

Dar es Salaam. Kama wewe ni mnywaji wa pombe zinazotengenezwa kwa ngano au pombe kali, soma hapa kwa makini. Wataalamu wa afya wameeleza uwepo wa athari hasi, kwa wale wenye tabia za kunywa pombe kabla ya kula chakula kwani huchangia mnywaji kula chakula kidogo kuliko mahitaji ya mwili au kuharibu kuta za utumbo. Mtaalamu wa…

Read More

WATU 200 WAPIMA AFYA NA GGML KATIKA MAONESHO YA OSHA

Na Mwandishi Wetu, Arusha WATU zaidi ya 200 jijini Arusha wamejitokeza kupimwa afya na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) na kati yao kubainika kuwa wana tatizo la uzito uliopitiliza. Pia kati ya watu hao hakuna aliyebainika kuwa na maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU), lakini mmoja amekutwa na dalili zote za kifua kifuu…

Read More

Sababu za wajawazito kuvimba uso, miguu hizi hapa

Dar es Salaam. Miongoni mwa mambo yanayojitokeza kwa baadhi ya wajawazito katika kipindi cha miezi minne mpaka tisa, ni kuvimba pua, uso na wengine miguu. Catherine Malya ni miongoni mwa wanawake waliobadilika mwonekano katika kipindi cha ujauzito wake. “Nilivimba mwili mzima, pua ilikuwa kubwa, mdomo na uso vyote vilivimba, nilibadilika sana. Kitu pekee mume wangu…

Read More