
Baada ya miaka 10 gizani, Ilala waanza kupata umeme
Mufindi. Baada ya zaidi ya miaka 10 ya kuishi bila huduma ya umeme, wakazi wa Kitongoji cha Ilala, Kijiji cha Nyololo Wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa, hatimaye wameunganishiwa nishati hiyo kupitia Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini (Rea), hatua iliyowapa matumaini mapya ya maendeleo na kuboresha maisha yao. Huduma hiyo imeanza kutolewa baada ya uwekaji wa…