
Moto wateketeza nyumba Tabata, gari la Zimamoto lakwama kuifikia
Dar es Salaam. Moto ambao chanzo chake bado hakijafahamika umeteketeza nyumba eneo la Tabata Kisiwani, Dar es Salaam. Moto huo uliozuka leo Alhamisi Mei 2, 2024 saa moja usiku umeteketeza nyumba na mali zote zilizokuwamo ndani. Wakati moto huo ukitokea imeelezwa wakazi wake ambao ni wapangaji hawakuwapo hivyo, jitihada za kuokoa mali kuwa changamoto kufanikiwa….