
Polisi, Stein Warriors balaa pale juu
TIMU ya kikapu ya Polisi na Stein Warriors zinaendelea kukabana koo katika nafasi mbili za juu za Ligi ya Kikapu ya Daraja la Kwanza inayoendelea katika Uwanja wa Bandari, Kurasini, Dar es Salaam. Katika msimamo wa ligi unaonyesha Polisi inaongoza katika ligi hiyo ikiwa na pointi 26, huku Stein Warriors ikishika nafasi ya pili kwa…