
Simulizi mchunga mifugo alivyomteka mtoto kulipwa pesa, akafungwa mwingine
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Bukoba imuachia huru mkazi wa kijiji cha Bubale wilayani Misenyi mkoani Kagera, Amon Ngwandamo maarufu Masumbufu aliyekuwa amefungwa jela miaka mitano kwa kosa la kumteka mtoto mwenye umri wa miaka minne na kujipatia pesa kutoka kwa wazazi wa mtoto huyo. Mahakama hiyo imemwachia huru Masumbufu kufuatia rufaa aliyoikata…