Nyumba 76 za watumishi wa afya, zitakavyoboresha utoaji huduma

Unguja. Familia 76 zimepata makazi karibu na Hospitali ya Rufaa ya Abdalla Mzee, Kusini Pemba hatua inayotajwa kuongeza ufanisi wa kutoa huduma katika hospitali hiyo baada ya kuwaepusha wataalamu kutembea masafa marefu kwenda kutoa huduma. Nyumba hizo 76 zenye gharama ya Sh16.481 bilioni zimejengwa na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China na kuikabidhi Serikali…

Read More

PUMZI YA MOTO: Mkasa wa Pamba FC kushuka daraja 2001

HATIMAYE Pamba ya Mwanza imefanikiwa kurudi Ligi Kuu Bara tangu ishuke daraja 2001. Klabu hiyo ambayo sasa inatambulika kama Pamba Jiji, imepanda baada ya ushindi mnono wa 3-1 dhidi ya Mbuni ya Arusha kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini humo. Pamba, klabu yenye rekodi yake barani Afrika inarudi Ligi Kuu baada ya kukaa chini…

Read More

KABUDI AHAIDI MAENDELEO KILOSA – MICHUZI BLOG

Farida Mangube, Kilosa Morogoro Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kilosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Profesa Palamagamba Kabudi, amewataka wananchi wa jimbo hilo kuwachagua Rais, Mbunge na Madiwani wa CCM ili kuhakikisha kasi ya maendeleo inaongezeka kwa vitendo. Profesa Kabudi ametoa kauli hiyo wakati wa uzinduzi wa kampeni za ubunge jimboni humo, akibainisha baadhi ya…

Read More

Iran yanyesha mvua ya mabomu, Israel waapa kujibu

Katika hali iliyotarajiwa, Iran imeishambulia kwa mabomu Israel usiku wa kuamkia leo Jumatano, Oktoba 2, 2024. Mashambulio hayo yamefanyika kutokana na vita vinavyoendelea kati ya Israel na kundi la Hezbollah la Lebanon. Israel ilianzisha mashambulizi katika mji wa Beirut nchini Lebanon na kusababisha mauaji ya aliyekuwa kiongozi wa kundi hilo, Hassan Nasrallah. Shirika la Utangazaji…

Read More

Benchikha aivulia kofia Simba mpya “itafanya maajabu”

ALIYEKUWA Kocha wa Simba msimu uliopita, Mualgeria Abdelhak Benchikha amekifuatilia kikosi kipya cha timu hiyo ya Msimbazi kisha kutoa neno, akiitabiria kufanya maajabu msimu wa 2024-2025. Kocha huyo mwenye misimamo na maamuzi magumu alijiunga na Simba, Novemba mwaka jana kabla ya kuachia ngazi  Aprili 2024 mwaka huu mara baada ya Dabi ya Kariakoo iliyoisha kwa…

Read More

BARAZA LA SALIM: Jeshi la Polisi Zenji lichunguze vifo tata

Wakati taarifa za kuhimiza amani, utulivu na upendo zikisikika Zanzibar katika nyumba za ibada na kwingineko matukio ya vifo, baadhi vya watu waliokuwa mikononi mwa vyombo vya dola zimeshitua watu na kuuliza visiwa hivi naelekea wapi? Jamaa wa marehemu wawili walioiaga dunia karibuni katika Kijiji cha Kiiungoni, Kusini Pemba, walikataa kupokea maiti hadi sababu ya…

Read More