DKT. BITEKO ATAKA UTOAJI HUDUMA USIWE WA KIBAGUZI

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kuboresha miundombinu ya utoaji wa huduma za saratani na vifaa tiba ili kutanua wigo wa huduma za Saratani nchini na hivyo kuwezesha upatikanaji wa huduma hizo kwa urahisi. Dkt. Biteko amesema hayo tarehe 2 Mei, 2024 wakati akimwakilisha Rais, Dkt. Samia…

Read More

NMB yang’ara maonesho OSHA

Benki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta ya fedha na bima kama mshindi wa pili (first runner up) katika tuzo zilizotolewa na Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA) wakati wa kufunga Wiki ya Maadhimisho ya Kimataifa ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi 2024 yaliyofanyika jijini Arusha. Anaripoti Mwandishi…

Read More

Kitasa kung’oka Azam FC | Mwanaspoti

Beki wa kati wa Azam FC, Malickou Ndoye ameonyesha nia ya kuondoka ndani ya timu hiyo baada ya msimu huu kumalizika kutokana na kutokuwa na uhakika wa kucheza kwenye kikosi cha kwanza. Taarifa ambazo Mwanaspoti limezipata kutoka ndani ya timu hiyo zilieleza nyota huyo aliyekuwa nje ya uwanja tangu Oktoba mwaka jana kutokana na majeraha…

Read More

Dk. Biteko aagiza utoaji huduma saratani usiwe wa kibaguzi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema  Serikali itaendelea kuboresha miundombinu ya utoaji wa huduma za saratani na vifaa tiba  ili kutanua wigo wa huduma za saratani nchini na hivyo kuwezesha upatikanaji wa  huduma hizo kwa urahisi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Pia ametoa rai kwa uongozi wa Hospitali hiyo kuhakikisha…

Read More

NMB yang’ara OSHA!

          Benki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta ya fedha na bima kama mshindi wa pili (first runner up) katika tuzo zilizotolewa na Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA) wakati wa kufunga Wiki ya Maadhimisho ya Kimataifa ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi 2024…

Read More

Mandonga humwambii kitu kwa Pacome Yanga

Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Karim Mandonga ‘Mtu Kazi’, amefichua kuwa yeye ni shabiki mkubwa wa Yanga huku akibainisha kwamba, mchezaji ambaye huwa anapenda kumuangalia anavyocheza ni kiungo wa timu hiyo raia wa Ivory Coast, Pacome Zouzoua. Mandonga amesema kwamba, kabla ya Pacome, alikuwa akivutiwa zaidi na mastaa waliotimka kwenye timu hiyo, Feisal Salum…

Read More

ULIMWENGU WA ZAWADI KABAMBE THAMANI MPAKA BIL 1.

Ingia katika ulimwengu wa zawadi za kushangaza: Jishindie sehemu ya zawadi zenye thamani ya Tsh Bilioni Moja (1,109,338,868) pale unapocheza michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka kwa watengenezaji wa michezo ya kasino Wazdan. Karibu katika ushindi usio na kifani! Burudika na Meridianbet unapocheza kasino ya mtandaoni na jishindie sehemu ya zawadi zenye thamani ya Tsh…

Read More