
Kiongozi na wafuasi 20 wa genge la uhalifu Haiti wauawa – DW – 16.10.2024
Katika taarifa, polisi ya taifa nchini Haiti imesema kamanda wa pili wa genge la Kraze Baryè, anayejulikana kama “Deshommes,” alipigwa risasi huko Torcelle, eneo linalodhibitiwa na genge hilo kusini mashariki mwa mji mkuu Port-au-Prince. Wanachama 20 wa genge la Kraze Baryè nchini Haiti wauawa Maafisa wa polisi wamesema kuwa wanachama wengine 20 wa genge hilo waliuawa wakati…