
CSSC YASHEREHEKEA MAFANIKIO YA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KUBORESHA MAFUNZO YA FAMASI NCHINI TANZANIA.
KAIMU Mganga Mkuu wa Serikali Ziada Sellah,akizungumza wakati wa mkutano mkuu wa mwaka pamoja na kusherehekea mafanikio ya Mradi wa kuboresha mafunzo na huduma za famasi nchini (MAP-QPS) awamu ya pili uliokwenda sambamba na uzinduzi wa mifumo ya TEHAMA na ugawaji wa vitabu vya Famasi jijini Dodoma. Mkurugenzi Mtendaji wa CSSC, Peter Maduki,akizungumza wakati wa…