
Wiki tatu za jasho Yanga
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC kwa sasa wanaishi kwa kupiga hesabu za vidole kabla ya kutetea ubingwa ambao utakuwa wa 30 tangu kuanzishwa kwa ligi hiyo. Ni wiki tatu za jasho kabla ya Mei 22. Yanga wapo kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo wakiwa na pointi 62 baada ya kucheza mechi 24,…