Chadema Morogoro mjini wapata viongozi wapya

Morogoro. Baada ya vuta nikuvute ya uchaguzi viongozi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Morogoro mjini, hatimaye chama hicho kimepata viongozi wapya wa jimbo na mabaraza watakaoongoza kwa kipindi cha miaka mitano. Akitangaza matokeo ya uchaguzi huo leo Juni Mosi, 2024, msimamizi wa uchaguzi ambaye pia ni mjumbe wa kamati kuu na operesheni kamanda…

Read More

MANISPAA YA KAHAMA YARIDHISHWA NA MCHAKATO WA UFUNGAJI WA MGODI WA BARRICK BUZWAGI

Meneja Uhusiano wa Jamii na Miradi wa Barrick Buzwagi, Stanley Joseph, akionyesha Maofisa kutoka manispaa ya Kahama sehemu za mgodi zilivyoboreshwa kwa ajili ya uwekezaji walipofanya ziara mgodini hapoJohn Kibini Meneja wa Kiwanda cha EACS Akitoa Maelezo kwa Wataalam kutoka Manispaa ya kahama walipotembelea eneo la Mgodi wa Barrick Buzwagi uliopo katika mchakato wa kufungwa…

Read More

Ingiza Sleeves na Ufanye Kitu, anasema Astrid Schomaker, Mkuu Mpya wa UNCBD – Masuala ya Ulimwenguni.

Astrid Schomaker, Katibu Mtendaji wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Anuwai ya Baiolojia. Credit: UNCBD na Stella Paul (Montreal na Hyderabad) Jumanne, Agosti 27, 2024 Inter Press Service MONTREAL & HYDERABAD, Agosti 27 (IPS) – “Tunaishi katika wakati ambapo maumbile yanainua mikono mara kwa mara na kusema, 'Angalia, niko hapa na nina matatizo,' na…

Read More

RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE ASHIRIKI MKUTANO WA JARIDA LA UONGOZI LA AFRIKA

  Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameshiriki katika Mkutano Mkuu wa Afrika ulioandaliwa na Jarida la Uongozi la Afrika (African Leadership Magazine) na Taasisi ya Uongozi wa Afrika (African Leadership Organization) jijini London, Uingereza.  Mkutano huo unazungumzia masuala mbalimbali ya Afrika, ikiwemo Uongozi, Uwekezaji na Ushindani wa Kimaendeleo kwa kauli mbiu ya: “Powering…

Read More

Mwaka 2025 na sura halisi ya mwanawake na uongozi kisiasa

Dar es Salaam. Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka huu umeweka rekodi mpya kwa namna wanawake walivyojitokeza kuwania nafasi za juu za uongozi. Historia hii mpya imeandikwa kutokana na ongezeko la wagombea wanawake wanaowania nafasi mbalimbali zikiwamo za urais sambamba na wagombea wenza. Hatua hii inaonesha mafanikio ya mapambano ya usawa wa kijinsia, demokrasia na mustakabali…

Read More

TANZANIA BREWERIES LIMITED NA TANZANIA RED CROSS SOCIETY WAZINDUA MPANGO WA MAFUNZO NA ELIMU KWA WAENDESHA PIKIPIKI

• Lengo ni kuboresha usalama barabarani kwa waendesha pikipiki jijini Dar es Salaam Tanzania Breweries Limited (TBL), kwa kushirikiana na Tanzania Red Cross Society (TRCS), inajivunia kutangaza uzinduzi wa Mpango wa Mafunzo na Elimu kwa Waendesha Pikipiki. Mradi huu utaendeshwa kuanzia Septemba hadi Desemba 2024 na unalenga kupunguza ajali za barabarani zinazohusisha waendesha pikipiki kupitia…

Read More

Kesi ya wamiliki 3 wa jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo upelelezi bado unaendelea

Upelelezi wa kesi ya kuua bila kukusudia inayowakabili wamiliki watatu wa jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo, Dar es Salaam bado haujakamilika, huku kesi hiyo ikiahirishwa hadi Januari 14,2025. Kesi hiyo iliitishwa leo kwa ajili ya kutajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mbele ya Hakinu Mkazi Mwandamizi Godfrey Mhini ambapo upande wa Jamhuri uliomba ahirisho…

Read More