
UDSM, DAR City zachuana BDL
Timu ya Dar City na UDSM Outsiders, zinakabana koo katika uongozi wa Ligi ya Kikapu ya Mkoa wa Dar es Salaam (BDL)inayoendelea kwenye Uwanja wa Donbosco, Oysterbay, Dar es Salaam. Timu hizo zilianza kuchuana tangu ligi ilivyoanza Machi 3 mwaka huu. Mabingwa watetezi wa ligi hiyo, Dar City, ndiyo wanaongoza katika kwa pointi 25 kutokana…