MAKAMU WA RAIS DK. MPANGO AHANI MSIBA WA MWANAKIJIJI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiifariji familia na waombolezaji mbalimbali kufuatia kifo cha Bi. Doleta Minya kilichotokea tarehe 09 Julai 2024. Makamu wa Rais ametoa pole hizo wakati alipoitembelea familia ya marehemu akiwa Kijiji Kasumo Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma tarehe 11 Julai 2024.  

Read More

Taarifa za moja kwa moja kutoka kwa Baraza la Usalama na Umoja wa Mataifa kote – Masuala ya Ulimwenguni

© UNICEF/Dar al Mussawir/Ramzi Haidar Vitongoji vya kusini mwa Beirut viko magofu kufuatia mashambulizi ya anga ya Israel huko Lebanon. Jumatano, Oktoba 09, 2024 Habari za Umoja wa Mataifa Wakati machafuko yakiendelea Mashariki ya Kati, maafisa wakuu wa Umoja wa Mataifa walitoa taarifa za kibinadamu juu ya athari za kuendelea kwa mapigano huko Lebanon na…

Read More

Dosari zipatiwe ufumbuzi kuelekea uteuzi wa wagombea

Dar es Salaam. Uchaguzi wa serikali za mitaa uliopangwa kufanyika Novemba 27, 2024, unatoa fursa kwa wananchi kuchagua viongozi wa ngazi ya mitaa, vijiji, na vitongoji. Mchakato huu ni muhimu kwa kuwa unaimarisha utawala wa kidemokrasia na kuleta uwakilishi wa moja kwa moja wa wananchi. Hata hivyo, kuelekea uteuzi wa wagombea Novemba 8, 2024 kumekuwa…

Read More

TFF yamgomea Samatta kutundika buti timu ya Taifa

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limekiri kupokea barua ya kutaka kujiuzulu kwa nahodha wa timu ya taifa, Taifa Stars, Mbwana Samatta ‘Samagol’, lakini imemkaushia kwamba hadi watakapofanya kikao cha pamoja ili kujadiliana naye. Kabla ya TFF, kutoa msimamo huo, Mwanaspoti liliandika mapema wiki iliyopita kuhusiana na hatua ya Samatta kuandika barua, ambapo baba mzazi wa…

Read More

Jukwaa la Hali ya Hewa la Amerika – Masuala ya Ulimwenguni

Wanaharakati wa Oxfam wakiwa wamevalia vinyago vya viongozi wa mkutano wa G7 wa 2017. Credit: Picha Alliance/Pacific Press, Antonio Melita kupitia Friedrich-Ebert-Stiftung (FES) Maoni na Kamo Sende, Idasemiebi Idaminabo (aberdeen, Scotland) Jumanne, Desemba 17, 2024 Inter Press Service ABERDEEN, Uskoti, Desemba 17 (IPS) – Mtindo wa sera ya hali ya hewa wa Marekani umechukua mkondo…

Read More

Huyu ndiyo Profesa Janabi usiyemjua

Dar es Salaam. Wakati Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitaja jina la Profesa Mohamed Janabi kama pendekezo la nchi na ajiandae kugombea nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Dk Faustine Ndugulile, Mwananchi imekusogezea wasifu wake. Akizungumza baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali leo Jumanne, Desemba 10, 2024 kwenye…

Read More

Namungo yapiga hesabu za CAF

WACHEZAJI wa Namungo FC, wana matarajio makubwa kuhakikisha msimu ujao, wanapata nafasi ya kucheza michuano ya kimataifa, hivyo wanajifua kupigania nafasi nne za juu. Msimu uliopita timu hiyo ilimaliza nafasi ya sita, ila baadhi ya wachezaji wapya walioongezeka ndani ya kikosi hicho, wameongeza nguvu ni kitu kinachowaamisha kitatimiza ndoto zao. Kiraka wa timu hiyo mkongwe…

Read More