
NBAA YAWANOA WATAHINIWA MITIHANI CPA
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeendesha warsha kwa njia ya mtandao pamoja na mafunzo ya ana kwa ana kwa wanafunzi wanaotarajia kufanya mitihani ya Bodi, ikilenga kuongeza ufanisi na maandalizi bora kwa watahiniwa wake. Akizungumza wakati wa kufungua warsha hiyo kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji, Peter Lyimo, Mkurugenzi…