Wadau wajadili utekelezaji maboresho ya mitaala na sera ya elimu
Dar es Salaam. Wakati Serikali ikiendelea kukabiliana na changamoto za upungufu wa miundombinu na walimu ili kuhakikisha utekelezaji wa mitaala iliyoboreshwa unafanikiwa, wadau wa sekta ya elimu nchini wamehimizwa kushirikiana na Serikali katika kuimarisha sekta hiyo. Wito huo umetolewa leo Jumatano, Machi 25, 2026 jijini Dar es Salaam na Makamu wa Rais, Dk Emmanuel Nchimbi…