
Sh140 milioni zajenga jengo la kuhifadhi wanaohisiwa magonjwa ya kuambukiza
Dodoma. Serikali imekamilisha awamu ya kwanza ya ujenzi wa jengo la kuwahifadhi wahisiwa wa magonjwa ya kuambukiza lililopo katika mpaka wa Mutukula Wilaya ya Missenyi Mkoa wa Kagera ambalo limegharimu Sh140 milioni. Hayo yamesemwa leo Ijumaa Novemba 8, 2024 wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Benardetha Mushashu. Katika swali la msingi, Mushashu…