
Pacome apewa dakika 20, Yanga ikitinga nusu fainali FA
BAADA ya kukosekana katika michezo saba katika mashindano tofauti sawa na dakika 630, kiungo Pacome Zouzoua amecheza dakika 20 wakati Yanga ikitinga nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) kwa kuichapa mabao 3-0 Tabora United kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi. Pacome ambaye alipata majeraha katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam, Machi…