
CWT yawafedhehesha walimu Songwe | Mwananchi
Songwe. Zaidi ya walimu 5,000 ambao ni wanachama wa Chama cha Walimu (CWT) Mkoa wa Songwe, wameulalamikia uongozi wa chama hicho Taifa kwa kushindwa kuwanunulia fulana kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani (Mei Mosi) ambayo kimkoa yamefanyika wilayani Ileje. Wakizungumza na Mwananchi Digital leo Mei Mosi, 2024 wakati wa maadhimisho hayo, baadhi…