
NBAA YAENDESHA WARSHA KUHUSU TAARIFA ENDELEVU”SUSTAINABILIY REPORTING”
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeendesha warsha ya siku nne kuhusu uandaaji wa muongozo na ripoti kuhusu masuala ya Taarifa endelevu ”Sustainabiliy Reporting” ili kusaidia serikali katika juhudi za kufikia malengo ya maendeleo endelevu 2030 (SDG 2030). Taarifa hizo zitazingatia kuripoti maendeleo endelevu (IFRS S1) na Uwazi katika…