
Mke, watoto watoweka kusikojulikana, mgogoro wa familia watajwa chanzo
Mkazi wa Yangeyange wilayani Ilala, Dar es Salaam, Faraja Ng’andu na wanawe wawili wametoweka kwenye nyumba waliyokuwa wakiishi na hawajulikani walipo. Ni zaidi ya siku tano sasa tangu Faraja na wanawe hao wa kiume na wa kike huku jitihada za familia kuwatafuta kwa kulihusisha Jeshi la Polisi zikiendelea. Faraja (28), alitoweka nyumbani hapo Jumamosi, Machi…