
Mavunde: Tulitumia saa manane kumvuta GSM Yanga
UKIACHA mapenzi yake ndani ya klabu ya Yanga kama kuna jambo ambalo lilimtambulisha kwa ukubwa Antony Mavunde ndani ya klabu hiyo basi ni ile siku ambayo aliutambulisjha umma wa wanachama na mashabiki wa klabu hiyo juu ya ujio wa mfadhili wa timu hiyo Ghalib Said Mohammed ‘GSM’. Mavunde alimtambulisha tajiri huyo mbele ya uma…