
Makonda ajizuia kuzungumza akihofia ‘kulikoroga’ mbele ya Dk Mpango
Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ameonyesha hofu ya kuzungumza mambo mengi mbele ya Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango kwa kuhofia kile alichokiita ‘kuyakoroga. Hofu yake hiyo inatokana na kile alichoeleza, yupo katika furaha na katika nyakati kama hizo akizungumza zaidi atayakoroga. Kauli yake hiyo inakuja wakati ambao, Makonda amekuwa…