Mikakati ya Serikali kuipa nguvu ATCL

Dodoma. Serikali imesema miongoni mwa miradi mikubwa ya maendeleo kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 itakayopewa kipaumbele,  ni pamoja na ufufuaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL). Hayo yamesemwa leo Jumatatu Mei 6, 2024 na Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa wakati akiwasilisha bungeni mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka…

Read More

Ubunifu kiteknolojia unavyopunguza hasara katika kilimo

Ndoto ya kila mkulima ni kupata mazao mengi ili aingize fedha za kutosha, lakini wakati mwingine msimu wa mavuno, hasa kwa wakulima wa mbogamboga na matunda huacha majonzi. Majonzi hayo yanatokana na kukosa soko na wakati mwingine bei ndogo wanayokutana nayo sokoni na hofu ya kupoteza mali baada ya mazao kuharibikia shambani, ambayo humlazimu mkulima…

Read More

Rais Samia atunuku kamisheni maofisa 236

Monduli. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewatunuku Kamisheni maofisa wanafunzi 236 wa Jeshi katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA)- Monduli, mkoani Arusha. Maofisa hao wapya wamekuwa maofisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na wengine waliohitimu ni kutoka nje ya nchi. Tukio hilo limefanyika leo Alhamisi Novemba 28, 2024, TMA…

Read More

WAKANDARASI WAZAWA KUPEWA KIPAUMBELE MIRADI YA UKUZAJI UCHUMI – MWANAHARAKATI MZALENDO

    Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya, amesema Serikali imedhamiria kuendelea kushirikiana na Wakandarasi Wazawa kwenye Miradi mbalimbali ya Ujenzi hususani ile inayolenga Maendeleo na ukuaji wa Uchumi dhamira ikiwa ni Kuijenga Tanzania kupitia miradi ya Kimkakati.       Mhandisi Kasekenya ametoa kauli hiyo leo Agosti 06, 2024 Jijini Dar es Salaam…

Read More

Mawaziri wamzungumia Samia utekelezaji wa miradi

Dar es Salaam. Mawaziri wa Tanzania juzi usiku wametoboa siri ya namna miaka minne ya utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan alivyoifungua nchi, kuirudisha kwenye misingi ya Baba wa Taifa na kutoa masomo mpya kuhusu uongozi nchini. Wakizungumza katika nyakati tofauti kwenye Kongamano la Mwananchi Jukwaa la Fikra lililoandaliwa na kampuni ya Mwananchi Communications Limited…

Read More

Chama Lako limefundishwa na makocha wangapi?

KUNA timu tatu vinara zilizokimbizana kutimua makocha na kuajiri wengine ndani ya msimu huu wa Ligi Kuu Bara, lakini pia zipo tatu zilizokomaa zikionyesha zitamaliza na makocha wanne walewale zilioanza nao. Katika mabadiliko hayo wapo makocha waliolazimika kuondoshwa kufuatia matokeo mabaya ya vikosi vyao, lakini wengine wakiwa na sababu zao binafsi. Wakati Tabora United ikiongoza…

Read More

Punguzo lenye neema kwa benki, Serikali na wananchi

Sekta ya huduma za fedha ni miongoni mwa zinazokua kwa kasi hapa nchini, huku ujumuishi wa watu katika huduma hizo muhimu za kiuchumi ukiongezeka. Miongoni mwa huduma zilizojumuisha Watanzania wengi katika huduma za kifedha ukiachilia mbali miamala ya simu ni huduma za kibenki, hata hivyo utitiri wa makato ni kikwazo kikubwa kwa watu. Hatua ya…

Read More