CCM IRINGA WAWAPONGEZA WALIMU WAZALENDO

Katibu Siasa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM mkoa wa Iringa, Joseph Ryata akiongea na walimu wazalendo wilaya ya Kilolo mkoani Iringa Na Fredy Mgunda, Iringa CHAMA cha Mapinduzi CCM mkoa wa Iringa kimewpongeza walimu wazalendo kufundisha kwa juhudi na kumuunga mkono Rais Dr Samia suluhu Hassan katika kutekeleza ila ya CCM ya 2020/2025 kwa vitendo….

Read More

Robertinho: Simba inahitaji mambo mawili tu, itoboe!

SIMBA imeanza maisha mapya bila ya Abdelhak Benchikha aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo ikipata sare ya 2-2 na Namungo mjini Lindi katika Ligi Kuu Bara, huku kocha wa zamani wa klabu hiyo Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ akituliza upepo akisema kwa sasa inatakiwa kufanya mambo mawili tu hali iwe shwari. Simba imeachana na Benchikha aliyedumu…

Read More

Waajiri wakumbushia punguzo kodi ya ujuzi

Dar es Salaam. Licha ya hatua mbalimbali za Serikali kupunguza kodi ya Maendeleo ya Ujuzi (SDL) kutoka asilimia sita hadi 4.5, waajiri wametaka kuendelea kupunguzwa zaidi hadi kufikia asilimia mbili. Kwa mujibu wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), hatua ya kupunguzwa kwa kodi hiyo itarahisisha mazingira ya biashara na kupunguza gharama. Kodi ya SDL hulipwa…

Read More

SERIKALI KUANZA UJENZI WA DARAJA LA MTO ATHUMANI

Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya amesema Serikali ipo katika hatua za mwanzo za maandalizi ya ujenzi wa daraja la mto Athumani lililopo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha. Akijibu swali bungeni leo, Mhe. Kasekenya amesema katika bajeti ya mwaka wa fedha 2024/25, Serikali imepanga kujenga na kukamilisha daraja hilo ili kunusuru maisha ya wananchi wa…

Read More

Makamu wa Rais mgeni rasmi Mei Mosi

Arusha. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amewasili katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani yanayofanyika kitaifa jijini humo. Awali Rais Samia Suluhu Hassan, alitarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho hayo. Leo Mei Mosi, 2024 maadhimisho hayo yameanza  ambapo kwa sasa maandamano…

Read More

Miaka 10 ya ACT Wazalendo wakijenga imani katika nyakati ngumu

Mwanzo unaendana na tenzi ya “wanakwenu kwa heri”, au hadithi ya wana wa Israel kuondoka Misri, kufuata malisho mema Nchi ya Ahadi. Wanasiasa walioshindwa kuiva chungu kimoja na viongozi wenzao Chadema, wakaanzisha ACT Wazalendo. Miaka 10 ilishatimia tangu ACT Wazalendo wapewe usajili wa muda. Mei 5, 2024, itatimia miaka 10 tokea walipopata usajili wa kudumu….

Read More