MHE. PINDA ,SEOM WAKUTANA NA MACHIFU WA BOTSWANA

Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC-SEOM) Mhe. Mizengo Pinda na ujumbe wake wa SEOM wamekutana na kuzungumza na machifu kutoka koo mbalimbali za nchini Botswana katika kikao kilichofanyika jijini Gaborone tarehe 27 Oktoba 2024 ikiwa ni sehemu ya vikao ambavyo SEOM imekuwa ikifanya na wadau…

Read More

Simba ilivyokiwasha Amaan Complex | Mwanaspoti

SIMBA licha ya kushindwa kubeba ubingwa wa kwanza wa Afrika baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 nyumbani na RS Berkane ya Morocco, imeendeleza rekodi ya kutopoteza mechi yoyote nyumbani msimu huu katika mechi za Kombe la Shirikisho Afrika. Bao la mapema la dakika 16 la Joshua Mutale liliipa nguvu Simba jana mbele ya wageni, huku…

Read More

WATAFITI KUTOKA MATAIFA KUMI KUJADILI ELIMU MSINGI NCHINI

WATAFITI 111 kutoka mataifa kumi ulimwenguni wamekutana katika kongamano la Elimu lililoandaliwa na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kuwasilisha na kujadili matokeo ya tafiti zao mbalimbali walizozifanya kuhusiana na elimu msingi na kutoa mapendekezo namna ya kuikuza elimu hiyo nchini. Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na mgeni rasmi katika ufunguzi wa…

Read More

RAIS MADURO AKATAA TUHUMA ZA UDANGANYIFU NA KUANZA HATUA DHIDI YA WAPINZANI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Caracas, Venezuela – Rais Nicolás Maduro amekataa madai kwamba uchaguzi wa hivi karibuni nchini Venezuela haukuwa wa kidemokrasia, akisisitiza kuwa chama chake kiko tayari kuwasilisha majumuisho yote ya kura. Hii ni baada ya waangalizi wa uchaguzi kutoa taarifa kwamba matokeo hayawezi kuchukuliwa kama ya haki. Tamko la Baraza la Kitaifa la Uchaguzi (CNE) kwamba Maduro…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Geita Gold tuwaweke katika maombi

BAADA ya kutoka sare ya bila kufungana na Coastal Union, haraka nikakimbilia msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ili nione Geita Gold iko nafasi ya ngapi na ina pointi ngapi. Matokeo hayo kumbe hayakuwa na faida kubwa kwa sababu yaliifanya timu hiyo kubakia katika nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi ikiwa imekusanya pointi 24….

Read More

ETDCO YAIFIKIA KONGANI YA VIWANDA YA KWALA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wakati akiweka jiwe la msingi katika Kongani ya Viwanda ya Kwala, Mkoani Pwani, kwa ajili ya ujenzi wa viwanda 200 vya kisasa ambapo TANESCO, kupitia Kampuni Tanzu ya ETDCO, tayari imekamilisha ujenzi wa njia ya…

Read More