
NEMC yatoa elimu matumizi salama ya Zebaki kwa wachimbaji
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limetoa elimu ya matumizi salama ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo na wasambazaji wa mgodi wa Mwakitolyo uliopo Kata ya Mwakitolyo Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, ili kupunguza madhara ya zebaki kiafya na kimazingira. Aidha, NEMC kwa kushirikiana na ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali wanatekeleza…