
UDSM yashiriki warsha ya STEM (Sayansi, Teknolojia, Uhandisi, na Hisabati)na kufanya ziara ya kiwanda cha umeme
Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam, wameshiriki warsha ya STEM (Sayansi, Teknolojia, Uhandisi, na Hisabati) ya kukuza taaluma na kufanya ziara ya kiwanda cha umeme iliyoratibiwa na GE Vernova kwa kushirikiana na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Tukio hili lilifanyika katika mazingira ya Chuo Kikuu cha…