Mambo ya Ndani, Ulinzi zang’ara michezo ya Mei Mosi Arusha
Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini Nyamhokya amefunga mashindano ya Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha kwa kuwakabidhi makombe ya ushindi wanamichezo walishinda katika michezo mbalimbali naoshiriki kwenye michezo hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hafla hiyo imefanyika tarehe 29 Aprili 2024 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini…