
Fei Toto, Kitambala waing’arisha Azam FC ugenini, Mlandege yapoteza
Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Jephte Kitambala wameiongoza Azam FC kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya El Merreikh Bentiu katika mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika iliyochezwa leo Septemba 20, 2025 kwenye Uwanja wa Taifa wa Juba, Sudan Kusini. Katika mchezo huo ambao ulitawaliwa na Azam FC kwa muda mrefu, Fei Toto ndiye…