
JKCI YAONYESHA MATUMAINI KWA WAZAZI WA WATOTO WENYE SHIDA YA MOYO SINYANGA
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Nuru Letara akimpima kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi mtoto aliyefika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Shinyanga (SRRH) kwa ajili ya kupata huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo wakati wa kambi maalum ya siku tano ya Tiba…