DEBLINKZ WAMEKUJA TENA NA BABY NA FIRE
DEBLINKZ ni wasanii wawili walioamua kuungana pamoja na kutengeneza kundi la muziki kutoka nchini Nigeria wakiwa wanafahamika kwa majina halisi kama Onyekachi na Onyebuchi Ikeh kutoka jimbo la Anambra, wawili hao wakubwa wa Kiafrika walianza safari yao ya kikazi mwaka wa 2006. Wakianzisha lebo yao wenyewe, C-unit Management, ambayo zamani ilijulikana kama DEBLINKZ, wawili hao…