
Simulizi ya mwalimu aliyegeukia ushonaji viatu
Sengerema. Wakati baadhi ya vijana nchini wakilia ukosefu wa ajira baada ya kuhitimu masomo katika vyuo vya kati na vyuo vikuu, kwa Anordy Theonest (25), hali ni tofauti. Alihitimu stashahada ya ualimu mwaka 2018 katika Chuo cha Ualimu Vikindi kilichopo Mkuranga mkoani Pwani, lakini muda mfupi baada ya kuhitimu akageukia ushonaji viatu kukabiliana na ukosefu…