
PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JULAI 22,2024
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JULAI 22,2024 About the author
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JULAI 22,2024 About the author
Katika ripoti ya kulaani mfumo huo, ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imeelezea kwa kina jinsi gani watu katika taifa hilo lililojitenga na la kimabavu “wanavyodhibitiwa na kunyonywa kupitia mfumo mpana wa kazi za kulazimishwa”. Mkuu wa ofisi hiyo Volker Turk, alisema kuwa “ushahidi katika ripoti hiyo unatoa mwangaza wa kushutua na…
KATIKA kile kinachoendelea kati ya mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize kuhusishwa ama kutakiwa na klabu mbalimbali Afrika na Ulaya, viongozi wa timu hiyo ya wananchi hao wanapaswa kuwa makini juu ya jambo hilo. Mzize kwa siku za hivi karibuni amekuwa akihitajika na klabu za Wydad AC ya Morocco na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini ambazo…
MKUU wa wilaya ya Mkalama, Moses Machali amewataka Wakuu wa Idara, Watumishi wa Afya, Watendaji Kata na Vijiji pamoja na Maafisa Tarafa wilayani Mkalama kutoa elimu kwa wananchi namna ya kujilinda na ugonjwa wa Homa ya Nyani maarufu kama Mpox. Anaripoti Mwandishi Wetu, Singida … (endelea). Wito huo ameutoa leo tarehe 5 Septemba, 2024…
Na. Peter Haule, WF, Dar es Salaam Ofisi ya Pensheni ya Hazina iliyo chini ya Idara ya Mhasibu Mkuu wa Serikali inajukumu la kulipa mafao ya kustaafu kwa viongozi wa kitaifa na kisiasa na watumishi wa umma ambao hawachangii katika mfuko wowote wa hifadhi ya jamii. Hayo yamebainishwa na Afisa Hesabu Mkuu kutoka Kitengo cha…
WAKATI ikielezwa kuwa, Yanga iko katika mazungumzo na nyota wa JKU, Abubakar Nizar Othman, mabosi wa Azam FC wameweka wazi nyota huyo ni mali yao na hauzwi, hivyo wanaomtaka wasahau kuhusiana na hilo na mwishoni wa msimu huu watamrudisha. Ipo Hivi. Mara baada ya mechi ya fainali ya Kombe la Muungano, iliyopigwa kwenye Uwanja wa…
Na Wizara ya Madini Sekta ya Madini ni moja ya nguzo muhimu za uchumi wa Tanzania. Pamoja na mchango mkubwa unaotolewa na Migodi mikubwa inayomilikiwa na Kampuni za ndani na nje ya Taifa sambamba na zile za ubia baina ya Serikali na kampuni za kigeni. Wachimbaji Wadogo wa Madini nchini bado ni tija…
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga “JUDE” katika Bahari ya Hindi eneo la Rasi ya Msumbiji. Uchambuzi wa mifumo ya hali ya hewa unaonesha kuwa kimbunga hicho kitaingia nchi kavu katika eneo la Msumbiji mchana wa leo tarehe 10 Machi 2024 na kupungua nguvu yake. Hata hivyo, Kimbunga…
Dar es Salaam. Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Doyo Hassan Doyo amekata rufaa katika kamati ya rufaa ya chama hicho, kupinga uchaguzi uliofanyika, akidai kutoridhika na matokeo. Mbali na kutoridhika na matokeo, Doyo ameituhumu kamati ya uchaguzi pamoja na mwenyekiti aliyemaliza muda wake, Hamad Rashid Mohamed,…
Last updated Sep 18, 2025 Rais wa Marekani, Donald Trump, ameanza ziara yake rasmi nchini Uingereza, ziara inayotajwa kuwa na umuhimu wa kisiasa na kidiplomasia kwa mustakabali wa uhusiano kati ya mataifa hayo mawili. Trump alipokelewa kwa heshima zote za kitaifa na kukutana na viongozi wakuu wa Uingereza, akiwemo Waziri Mkuu pamoja na Mfalme…