
Programu ya mabadiliko chanya ya huduma za kibenki Afrika Mashariki yazinduliwa rasmi
Katika muendelezo wa mabadiliko muhimu ndani ya sekta ya kifedha nchini Tanzania, NCBA Tanzania imetangaza programu yake ya kibenki na ya kisasa, NCBA Now. Hatua hii inaashiria mabadiliko muhimu yaliyopelekea huduma kuboreshwa,na ufikiaji zaidi wa wateja wake. Uzinduzi wa NCBA Now unaenda bega kwa bega na mafanikio ya kifedha ya kipekee kwa mwaka wa…