
Ahukumiwa kunyongwa kwa mauaji gesti
Arusha. Elia Wekwe ametiwa hatiani na Mahakama na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kumuua Kulwa James katika nyumba ya kulala wageni. Mauaji hayo yalifanyika Desemba 28, 2023 katika eneo la Unyanyembe, wilayani Maswa, Mkoa wa Simiyu. Kwa mujibu wa ushahidi uliowasilishwa mahakamani, Elia aliwasiliana na Kulwa (marehemu) wakakubaliana kwenda kufanya mapenzi na kwamba atampa Sh50,…